Header Ads


Nicki Minaj apewa heshima kubwa Queens, New York

Rapa Nicki Minaj amepewa heshima kubwa kutoka kwao Queens, New York baada ya kukabidhia Ufunguo Wa Queens.

Nicki Minaj Aka Onika Tanya Maraj ametuonyesha ufunguo wa Gold aliopewa kwa juhudi kwenye muziki na kuwakilisha vizuri alikotoka, heshima hii amepewa na Queens Borough President Melinda Katz.

Key Of The City hupewa wasanii na watu maarufu wenye mchango mkubwa katika jamii inayowazunguka na mitaa waliyotoka.

No comments

Powered by Blogger.