Header Ads


PICHA - HII NDIO FAMILIA YA P DIDDY

Ni nadra sana kuona picha ya P Diddy na familia yake yote, mara nyingi stori za P Diddy zinahusu , biashara, muziki na mpenzi wake Cassie ambaye ni msanii wa Rnb.

Hizi picha mbili mpya za staa huyu tajiri zaidi kwenye hiphop P Diddy na familia yake.


P. Diddy haba anaonekana na watoto wake sita, kutoka ‘Kulia’ Quincy, Justin, Christian, D’Lila, Jessie na Chance hapa wapo kwenye shughuli ya muziki ya Apple “Can’t Stop Won’t Stop” June 22, 2017.


#familyfirst #cantstopwontstop,Hii picha ya P Diddy akiwa na watoto wake D’Lila , Jessie James na Chance, Mama yao Kim Porter ‘Suti Nyeusi’ na Sarah Chapman,

No comments

Powered by Blogger.