Header Ads


RAPPER MEEK MILL AKANUSHA KUMTUMIA WAHUNI EX WA MINAJ

Image result for meek mill and nicki minaj
Meek Mill akanusha kuchonga mchongo wa kumvamia Ex wa Nicki Minaj Safaree Samuels, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki hii.
 Related image
Mtandao wa TMZ Ulitoa taarifa kuwa Samuels alilalamika kuvamiwa na kundi la vijana waliotumwa na rapa Meek Mill na kumvamia ijumaa iliyopita nje ya party ya BET ya Dj Khaled .
 
Meek Mill amekanusha tuhuma hizi nakusema “Hakuna beef yoyote, mimi ni boss, sipigani , sijui ata wamenichanganya vipi na mambo hayo
Safaree alikuwa na Nicki Minaj kabla ya kuwa na Meek Mill.

No comments

Powered by Blogger.