Header Ads


AJUMBE WAPYA WATEULIWA YANGA SC


Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga ameteuwa wajumbe wapya 12 watakaounda kamati ya mashindano.

Katika wajumbe hao wapya waliyoteliwa, Magid Suleiman ameteuliwa kuwa Mwenyekiti na Mustapha Urungo kuwa Makamu Mwenyekiti.

No comments

Powered by Blogger.