Header Ads


ALBUM YA WIZKID NDANI YA BILLBOARD HOT 200Moja ya mafanikio makubwa ya album ya wizkid ni kuwa ndani ya chart ya Billboard Hot 200 ikiwa inashika nafasi ya 107.
 
Kwenye Nchi Zingine pia inaendelea kufanya poa huku kwenye Chart Ya album Nchini Kanada Inashika Nafasi ya 58 na Nafasi ya 5 Kwenye HeatSeekers albums chart 

Sounds From The Other Side Imewakutanisha mastaa kibao wa kimataifa kama vile Chris Brown, Trey Songz, Drake, Ty Dolla $ign 


Hongera Wizkid kwa Mafanikio Makubwa Ya Album Yako

No comments

Powered by Blogger.