Header Ads


BEKI KISIKI WA YANGA YONDANI BAADA YA FUNGATE ARUDI KAZINIBaada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa, beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ameanza mazoezi ya taratibu.

Yondani ameanza mazoezi taratibu kuanzia jana na leo anatarajia kuungana na wenzake katika mazoezi ya pamoja.

Beki huyo ambaye amekuwa tegemeo la Yanga katika safu ya ulinzi, amejiunga na timu hiyo jana baada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa.

No comments

Powered by Blogger.