Header Ads


BEYONCE ARUDISHA ZAWADI ALIZOTUMIWA NA KIM KARDASHIAN

Beyoncé arudisha zawadi iliyotumwa na Kim Kardashian, mke wa Kanye West.

Kwamujibu wa Jarida la Heat, inasemekana ‘Kim Kardashian’ ambaye ni mke wa Kanye West ambaye kwa sasa hayuko kwenye maelewano mazuri na Rapper  JAY-Z alituma zawadi kwaajili ya Beyonce na Mtoto wake Blue ila zikarudishwa.

Jarida la Heat limeripoti kuwa Beyonce amerudisha zawadi  hiyo ya Kim Kardashian lakini haijaelezwa sababu.

Zawadi hiyo ni bidha yake mpya ya Urembo #KKW yenye thamani ya dola $150,000/- na bado haya ingiza sokoni.


 

Kim alijua Bey ataipenda zawadi hio kutokana na kwamba ni Exclusive kwake, haiko sokoni na inathamani kubwa, zawadi zingine zilizorudishwa ni pamoja na nguo za Blue zenye thamani ya dola $10000 kutoka kwenye kampuni ya nguo za watoto ya Kim na Kanye West.

No comments

Powered by Blogger.