Header Ads


BWENI LA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI PHILIP MANGULA LATEKETEA KWA MOTO,18 WALAZWA

Image result for PHILIPO MANGULA SECONDARY

Wanafunzi 18 Wa Shule Ya Sekondari Philip Mangula Iliyopo Kata Ya Imalinyi Wilayani Wanging'ombe Wamejeruhiwa Katika Ajali Ya Moto Iliyotokea Majira Ya Saa Moja Jioni.

Katika Ajali Hiyo Imeelezwa Kuwa Bweni la Wavulana Ndilo Limeungua Na Mali Zote Za Wanafunzi Zilizokuwamo Humo.

Akithibitisha Kwa Njia Ya Simu Diwani Wa Kata Ya Imalinyi Bwana Onesmo Lyandala Amesemakuwa Jitihada Za Kuzima Moto Ziligonga Mwamba 

No comments

Powered by Blogger.