Header Ads


JPM AMEFUNIKA NYAYO ZA NYERERE-PROFESSA SIGALLA


Mbunge wa Makete Prof. Norman Sigalla amemsifu Rais wa Awamu ya tano kuwa amefuata nyayo za Mwalimu Nyerere kutoka na matendo yake yatanabaishwa kwenye hutuba za Baba Taifa

"Mambo mengi yaliyozungumzwa kwenye hotuba za Mwalimu Nyerere ndiyo yanayoonekana kwa Rais Magufuli"

Hayo ameyasema leo kwenye ziara ya rais Magufuli Mkoani Singida

Professa Sigalla ameongeza kuwa Vyama vyetu tuviweke pembeni wote tumuunge mkono Rais

No comments

Powered by Blogger.