Header Ads


Picha,Muonekano mpya wa Rihanna wateka RedCarpet ya uzinduzi wa filamu ya Valerian

Red Carpet ya uzinduzi wa filamu ya Valerian And The City Of A Thousand Planets mjini London umekuwa gumzo kubwa baada ya RnB staa Rihanna kutokea na uonekano mpya huku kifua na gauni lake vikiwa sehemu kubwa iliyovutia wapiga picha na mapaparazzi.
Rihanna, 29, alionekana kuwa na muonekano mpya toka mwezi uliopita na alisema kama watu hawata kubali muonekano wake wa mwaka 2017, basi hawajawahi kukubali muonekano wake wa mwaka zamani.


            

No comments

Powered by Blogger.