Header Ads


Snoop Dogg Ameondolewa Kwenye Kesi Ya Ajali Na Wiz Khalifa


Image result for Snoop Dogg Gets Out Of Lawsuit Over Rail Collapse With Wiz 
Rapper Snoop Dogg amekataa kesi inayomkabili ambayo ilitokana na ajali kwenye tamasha huko Camden, New Jersey.

Snoop na Wiz Khalifa walikuwa wakipiga show kwenye Banda la BB & T huko Camden New Jersey, ambapo mashabiki 42 walijeruhiwa, baada ya reli ya mbele ya stage kuanguka.

Kulikuwa na mashtaka kadhaa kutokana na Tukio Hilo, ikiwa ni pamoja na shabiki kutoka Pennsylvania, ambaye alivunjika mgongo wake.

Snoop ameondolewa katika kesi hiyo, kwa sababu taratibu za kisheria zilitolewa huko Pennsylvania, na Snoop Dogg anaishi California.
 
Kwa Mujibu Wa Mtandao wa TMZ.com, Wiz Khalifa na Live Nation bado ni sehemu ya mashtaka na wanaendelea kupigana.

No comments

Powered by Blogger.