Header Ads


TCU YATAJA VYUO VILIVYOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI 2017/18

TCU Yataja Vyuo Vilivyozuiliwa Kudahili Wanafunzi 2017/18


 
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo vilivyozuiliwa kufanya udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo 2017/18. 

Orodha hii imetolewa wakati wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanaendelea na mchakato wa kutuma maombi vyoni.

 
 
 

 

No comments

Powered by Blogger.