Header Ads


WIZKID ATANGAZA UJIO WA NYIMBO MPYA MBILIKama Kweli Wewe Ni Shabiki Wa Dhati Wa StarBoy Wizkid Kaa Tayari Kwa Hit Singles Zingine Mbili Mpyaa Ambapo Anatarajia Kuziachia Soon

Wiz Ambaye Siku Za Hizi Karibuni Ameachia Single Yake Mpya MEDICINE Iliyotengenezwa Na MasterKraft Hana Mchezo Safari Hii Anataka Audhihirishie Ulimwengu Kuwa Yeye Ni Starboy.

Ikiwa Sounds From The Other Side Bado Inatikisa Kila Kona Ya Ulimwengu lakini Wizkid Bado Amethibitisha Kupitia Twita Taarifa Za Ujio Wa Single Mbili Ambapo Tutarajie Kumsikia Tiwa Savage Na 2baba Zamani 2Face

No comments

Powered by Blogger.