Header Ads


Amber Rose asema yuko tayari kuolewa na 21 Savage

Video model na Ex wa Rapper Wa Wiz Khalifa Amber Rose amekiri kuwa yuko tayari kuwa mke wa Rapper 21 Savage ambaye wamekuwa pamoja kwa muda wa miezi miwili sasa.

Amber amesema haya kwenye show ya mpenzi wake 21 Savage iliyofanyika weekend hii, kwenye video hio Amber anasema Imma marry him 
 
Amber Rose ana mtoto mmoja na amewahi kuwa na mahusiano na mastaa wakubwa kama Kanye West na Wiz Khalifa.

No comments

Powered by Blogger.