Header Ads


Documaentary ya Jay Z na Kanye West “Public Enemies.”

Image result for Documentary ya Jay Z nas Kanye West “Public Enemies.”
Documentary inayoelezea uhusiano wa Jay Z na Kanye West itaoneshwa wiki hii kituo cha runinga cha Uingereza ‘Channel 4.’ lakini tayari imewekwa online

Tofauti ya jina la Documentary hiyo “Public Enemies” haioneshia bifu la chini chini la rappers hao linaloendelea kwasasa, inaonesha jinsi mastaa hao walivyotoka, maisha yao kabla ya ustaa na hadi walivyokutana .

Pia kuna mahojiano na watu wao wa karibu ikiwemo walimu wa Jay Z wa shule ya awali pia DJ Clark Kent, Touré, Tarrey Torae, na Jensen Karp kati ya watu wengi wanaohusiana na marapper hao.

No comments

Powered by Blogger.