Header Ads


Fetty Wap kwenye beef na msaidizi wake aliyefanya utapeli

Image result for Fetty Wap BEEFRapa Fetty Wap ameingia kwenye beef nyingine na mmoja ya wasaidizi wake baada ya kumfukuza kazi kutokana na uwizi wa dola $250,000.

Fetty alimfukuza Shawna Morgan kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuhusu kazi yake, alijiwakilisha kama meneja wa Fetty Wap

Morgan amesema yeye ndio anadai dola $250,000 kutoka kwa RGF.

No comments

Powered by Blogger.