Header Ads


JE HII ITAKUWA NI UJIO WA COLLABO KATI YA NICKI MINAJ NA WIZKID?

Related image 
Starboy Wizkid Msanii Kutokea Nchi Nigeria Sasa Hivi Amerejea nchini Marekani baada ya ziara yake ya wiki mbili nyumbani, Nigeria. 

A post shared by Nicki Minaj (@nickiminaj) on

Mwimbaji huyu ambaye hivi karibuni ameachia nyimbo tatu baada ya kutolewa kwa maxtape yake kwa ufanisi, Ya SFTOS amesafiri kwenda Atlanta, USA ili kuendelea na kampeni ya Africa to the world. Wizkid Kwenye Picha Moja Na Rapper Machachari Kwenye Muziki Dubiani Nicki Minaj Wameonekana Kwenye Moja Ya Club Kubwa Mjini Humo Na Imeashilia Ujio Wa Colabo Kati Yao Kwani Kwasasa Tumeona Ni Jinsi Gani Wizkid Alivyo Na Moto Mkali Kwenye Game.

Nyota Ya Wizzy Imeendelea Kung’ara Kimataifa Zaidi Kwani hivi karibuni kaonekana akifanya kazi na Rapper Future. Ni salama kusema ushirikiano na Nicki Minaj huenda ukawa katika Kiwango Cha Hatari Zaidi Kutokana Na Kila Mmoja Kuwa Bora Kwenye Muziki.

A post shared by Nicki Minaj (@nickiminaj) on

No comments

Powered by Blogger.