Header Ads


Mawaziri wa Korea Kaskazini na Kusini wafanya mkutano Manila


South Korean Foreign Minister Kang Kyung-wha talks to an ASEAN foreign minister during the ASEAN-Republic of Korea (ROK) Ministerial Meeting in Philippine International Convention Center in Pasay city, metro Manila, Philippines 6 August 2017.
Korea Kaskazinia imeiambia BBC kuwa waziri wake wa mashari ya nchi za kigeni alizungumza na mwenzake wa Korea Kaskazini siku ya Jumapili katika mkutano usio wa kawaida wa uso kwa uso.

Mkutano huo kati ya Kang Kyung-wha wa Korea Kaskazini na Ri Yong Ho ulifanyika pombezoni mwa mkutano wa usalama wa kanda huko Manila.

Msukosuko umeshuhudiwa katika rasi ya Korea miezi ya hivi karibuni huku majaribio kadha ya makombora yakifanywa na Korea Kaskazini.

Baraza la ulinzi la Umoja wa Mataifa siku ya Jumapili lilipiga kura kuwekea Korea Kaskazni vikwazo zaidi.

Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini viliripoti kuwa Bi Kang alisalimiana kwa mkono na bwana Ri wakati wa mkutano uliokuwa mfupi ulioandaliwa na nchi za Asean.

People's Republic of China Foreign Minister Wang Yi greets North Korean Foreign Minister Ri Yong Ho, during a bilateral meeting at Manila, Philippines 6 August 2017.

No comments

Powered by Blogger.