Header Ads


Mtoto wa Chris Brown atambulisha bidha zake za nguona vipodozi

Mtoto wa kwanza wa Chris Brown,Royalty mwenye umri wa miaka 3 anafuata nyayo za Baba yake baada ya Leo kupitia wazazi wa mtoto huyo maarufu ametambulisha bidha zake za nguo na vipodozi kwaajili ya watoto wa jinsia zote.

Nguo hizo zitakuwa na muonekano wa rangi tofauti, magauni na vipodozi kwaajili ya watoto wanaopenda kutoka na kupendeza, mama wa Royalty, Nia Guzman anasaidia pia.

Mama Royalty ametangaza Aug. 6 bidha hizo zitapatikana kwenye tovuti ya RoyaltyBrown.Com.


No comments

Powered by Blogger.