Header Ads


Rihanna arudi kwao kwaajili ya tamasha kubwa la Crop Over

Ni tamaduni kwa msanii mkubwa wa Pop na RnB kurudi kwao visiwani Barbados kwaajili ya tamasha kubwa la Crop Over.

Rihanna amejipanga vizuri kwa tamasha hili baada ya kuonekana amebadilisha kabisa rangi ya nywele zake.

Mwezi uliopita Rihanna alitambulisha duniani filamu kubwa ya Valerian and the City of a Thousand Planets na kukutana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.

No comments

Powered by Blogger.