Header Ads


TEKNO AMETANGAZA JINA LA ALBUM YAKE

Related image
Triple MG star, Tekno, Hatimaye Ametangaza Jina la Album Yake Mpya Ambayo Wiki Kadhaa Zilizopita Alitoa Taarifa Ya Ujio Wake Wa Album Hiyo.


Mwimbaji/Muandaaji Wa Muziki Huyo Alianza Kuzungumzia LP Yake Tangu Mapema Mwaka 2016.

Teenage Dreams‘ Ni Jina la Album Ya Tekno Ambapo Ametumia Account Yake Ya Instagram Kuwaweka Wazi Mashabiki Wake Wa Muziki.

Mwimbaji Huyo Tayari Ameachia Hit Singles 7 Zikijumisha Pana, Diana, Samantha, Rara Na GO.

Tekno Pia amefanyakazi Na Waandaaji Wakubwa Wa Muziki Kama Krizbeatz, MasterKraft and Selebobo.


No comments

Powered by Blogger.