Header Ads


Hukumu ya Lulu kutolewa Novemba 13

 Image result for lulu michael

Mahakama Kuu Tanzania chini ya Jaji Sam Rumanyika inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudia  inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael maarufu 'Lulu" Novemba 13, 2017
Hatua hiyo imefuata baada ya mahakama hiyo kufunga kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili.


Upande wa Mstakiwa uliongozwa na Wakili msomi Peter Kibatala, Huku Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Faraja George.

Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi Nne, na Upande wa Mstakiwa uliwasilisha mashahidi Wawili.

No comments

Powered by Blogger.