Header Ads


New Audio: Bracket ft. Korede Bello – Just Like That

Kundi la Bracket linalounda na Smash pamoja na Vast wameachia audio ya wimbo wao mpya uitwao ‘Just Like That’ waliomshirikisha Korede Bello. Audio ya ngoma hiyo imetengenezwa katika studio ya Mavin Records chini ya mtayarishaji Jaynonny.

No comments

Powered by Blogger.