Header Ads


New Audio: Rich Mavoko ft Patoranking – Rudi

Msanii Rich Mavoko ameachia ngoma yake mpya ‘Rudi’ ambayo amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria, ngoma imefanywa na maprodyuza wawili ambao ni S2Kizzy na Abbydaddy.

No comments

Powered by Blogger.