Header Ads


New Video: Izzo Bizness feat Fatma – Tusiwatese

Msanii wa Hip Hop Bongo, Izzo Bizness ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Tusiwatese’ aliyomshirikisha mwanadada Fatma. Audio ya ngoma hiyo imetengtenezwa na Bin Laden, na kuongezewa manjonjo na producer Dupy, kwa upande wa video imeongozwa na Nick Dizzo.

No comments

Powered by Blogger.