Header Ads


New Video: Izzo Bizness ft Quick Rocka – Mkemia Mkuu

Msanii wa Hip Hop Izzo Bizness ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Mkemia Mkuu’ aliyomshirikisha mkali wa Tang twist bongo Quick Rocka, audio ya ngoma hiyo imetengenezwa na S2Kizzy kutoka Switch Studios na upande wa video imeongozwa na Lucca Swahili.
 

No comments

Powered by Blogger.