Header Ads


Ronaldo, Messi wakumbatiana kwa bashasha usiku wa tuzo za FIFA [Picha]

Katika tuzo zilizotolewa hapo jana siku ya Jumatatu usiku katika Jiji la London mastaa wengi walihudhuria wakiwemo waigizaji lakini tukio kubwa lililovutia ni kukutana na kukumbatiana kwa Cristiano Ronaldo na Leonel Messi.

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akisalimiana na kukumbatiana na Leonel Messi wa Barcelona


Mwigizaji filamu raia wa Marekani, Idriss Alba ameonekana akiwafuata wachezaji soka, Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo na kupiga nao picha za selfie.

    
Kikosi bora cha FIFA kinachoundwa na wachezaji 11. Ronaldo, Toni Kroos, Luka Modric, Marcelo na Ramos, Gianluigi Buffon, Leonardo Bonucci, Dani Alves, Andres Iniesta, Messi na Neymar.


Ronaldo akiwa na Kocha wake wa Real Madrid, Zinedine Zidane

Cristiano Ronaldo,  Gianni Infantino, Maradona, Ronaldo Delima

Neymar, Ronaldo na Messi

No comments

Powered by Blogger.