Header Ads


Tiwa Savage akava jarida la Guardian Life

Msanii wa muziki Nigeria, Tiwa Savage anayefanya vizuri sokoni kupitia mixtape ya ‘Sugarcane’ anatarajiwa kutokea mbele ya jarida la Guardian Life Magazine.

Kupitia jarida hilo la nchini humo Tiwa amethibitisha sio tu ni first lady wa Mavin ila ni msanii mkubwa kwa upande wa wanawake Arfrika.

“Possible to break those limitations and show the music industry that the new age African woman is here to stay!,” amesema Tiwa Savage.

No comments

Powered by Blogger.