Header Ads


Mtanzania anaeishi Urusi kaongea anachojua kuhusu Dr. Shika (+audio)

Kila Mtanzania aliesikia Dr. Luis Shika akijieleza kwamba yeye sio Mbabaishaji na kwamba alisoma, kuishi na kumiliki Kampuni kubwa Urusi, ametamani kupata angalau uthibitisho wowote kama ni kweli Daktari huyu.
AyoTV na millardayo.com zimempata Mtanzania ambae amekua akisoma na kuishi Russia kwa miaka mingi, anasema alichosema Dr. Luis kuhusu maisha yake ya Russia na kampuni yake ni kweli… bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo hadi mwisho

CHANZO millardayo.com

No comments

Powered by Blogger.