Header Ads


Nachukia wanaume wanaopiga makelele kitandani – Cardi B

Rapa wa kike kutoka Marekani, Cardi B amesema anakerwa na wanaume wanaopiga kelele pindi wawapo faragha.

Cardi B
Cardi B amedai kuwa huwa hapendi kusemeshwa wala kusikia miguno ya mwanaume pale wanapofanya mapenzi kwani huwa inamuondolea hisia ya kuendelea kufanya mapenzi.
Oooohhh Mungu wangu!! hakuna kitu nachukia kama mwanaume kupiga makelele, miguno au kunisemesha pale ninapokuwa nafanya nae mapenzi, nachukia sana kwa kweli.“amesema Cardi B wakati akisoma historia ya mwanamke mmoja mtandaoni kuelezea kisa kama hicho cha mpenzi wake kumkera kwa makelele wakiwa faragha.

No comments

Powered by Blogger.