Header Ads


New Video: Enock Bella – Sauda

Enock Bella kutoka Yamoto Band ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Sauda’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Lizer Classic kutoka studio za Wasafi Records na kwa upande wa video Director Ivan amehusika.

No comments

Powered by Blogger.