Header Ads


Picha: Dk Shika ndani ya muonekano mpya ‘inapendeza zaidi’

Maisha ya Dk Louis Shika ambaye hivi karibuni aliingia kwenye headline baada ya kushindwa kutoa asilimia 25 ya mnada wa nyumba za Lugumi muda mchache baada ya kushinda mnada huo, yameanza kubadilika taratibu kutokana na kupata deal kadhaa za matangazo.
DK Shika akiwa katika suti kali
DK Shika ambaye alikuwa katika muonekano ambao haufananii na utajiri anaoutangaza kuwa nao, weekend hii ameonekana akiwa amevaa suti kali.

Wadau wa mambo wanadai kuwa mzee huyo mashuhuri mitandaoni amepata deal kubwa katika kampuni moja kubwa la michezo ya kubashiri.
Huwenda akapata deal nyingi zaidi kutoka na umaarufu alionao kwa sasa.

No comments

Powered by Blogger.