Header Ads


MAGUFULI, DKT. SHEIN NA PHILIP MANGULA WACHAGULIWA KUWANIA UONGOZI CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa kuwapitisha wana CCM ambao wataomba ridhaa ya Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.

No comments

Powered by Blogger.