Header Ads


Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi SwedenRais Wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwaapisha Mabalozi wateule wawili asubuhi hii ambapo Mabalozi hao ni Dr.Willbroad Slaa anayekwenda kuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidini Ally Mboweto anakuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.

Soma taarifa kamili;


No comments

Powered by Blogger.