Header Ads


Kendrick Lamar aomba kushiriki katika Black Panther ijayo

Msanii wa muziki kutoka Marekani, Kendrick Lamar ameweka bayana hisia zake za kutamani kushiriki katika filamu ijayo ya Black Panther endapo itatokea.

Rapper huyo anayefanya vizuri ameweka wazi hilo wakati wa mahojiano na kituo cha BBC Radio 1, hivi karibuni na kueleza kuwa endapo filamu hiyo ikija kutoka tena basi yeye angependa kuigiza nafasi ya KillMonger.

“I really enjoy Killmonger’s character, just off the simple fact, you know, he was a villain but he came with some real [talk],” he noted. “He was a villain, but he was loved and misunderstood. So if I could, I’d play a Killmonger for sure.”

Filamu ya Black Panther imeingiza kiasi cha dola milioni 361 kutoka sehemu tofauti duniani. Pia imekuwa filamu ya pili kutoka kwenye kampuni ya Marvel kuwa na ufunguzi mkubwa zaidi ikiongozwa na filamu ya The Avengers ya mwaka 2012

No comments

Powered by Blogger.