Header Ads


Picha: Ciara aanika sura ya mtoto wakeMsanii wa muziki wa RnB, Ciara ameachia picha zinazoonyesha sura ya mtoto wake Sienna Princess Wilson aliyezaliwa mwezi wanne mwaka 2017 kwa mara ya kwanza.

Picha za mtoto huyo wa Ciara na Russell Wilson, zimeachiwa kupitia app ya TraceMe ya mume wake huyo aliyiozundua.

“She’s The Sweetest Angel! Read my letter to Sienna and see more photos of Baby SiSi and I Shot By Daddy on my TraceMe App. ❤️” ameandika Ciara ambaye ni mama wa watoto wawili kupitia mtandao wa kijamii wa InstagramNo comments

Powered by Blogger.